qu
answer
Nyumbani
Uliza!
Wataalam
Tafuta
Kiswahili
Taarifa
Ingia
qu
answer
Nyumbani
Wataalam
Uliza!
Taarifa
Ingia
Loading...
Pakia maswali mapya
Mbajune vicent John
Apr 16
#elimu-ya-watoto
#ufundishaji
Mbinu zipi hutumika kumfundishia mtoto stadi za awali za kuandika?
Onyesha zaidi...
1
2
Tumsime Godfrey
Apr 14
#elimu
#hisabati
#elimu-ya-utotoni
Ni Kwanini mtoto wa Elimu ya Awali hufundishwa dhana ya sifuri baada ya kufundishwa 1-9 ?
Onyesha zaidi...
1
1
Anonim
Apr 13
#sosholojia
#fasihi
"kila mwandishi hutunga kazi yake kwa kuzingatia mabadiliko mbalimbali yanayojitokeza katika jamii yake" Thibitisha hoja hii kwa kurejelea tamthiliya ya amezidi iliyoandikwa na said Ahmed Mohamed ?
kutumia tamthiliya ya amezidi ya Ahmed mohamed.kwa kiswahili
Onyesha zaidi...
2
1
Michael Kimwaga
Apr 12
#lishe
#afya
# je mwanaume ambae anatoa nguvu za kiume Kwa kiwango kidogo anashauliwa kutumia vyakula gani?
Onyesha zaidi...
1
1
Tumsime Godfrey
Apr 10
#elimu
#uraia
#teknolojia
"stadi ya kutafuta, kuchambua na kutumia taarifa ni muhimu KWA mtu Kuwa raia mwema" tetea kauli hii KWA hoja sita ?
Onyesha zaidi...
1
1
garvin amani
Apr 10
#elimu-ya-lugha
#fonolojia
huku ukizingztia kigezo cha namna hewa inavyozuiliwa wakati wa utamkaji tambua aina za konsonanti na uzitolee mfano moja moja?
Onyesha zaidi...
1
61
Anonim
Apr 10
#elimu-ya-sauti-za-kiswahili
tambua sifa tatu kwa kila sauti; /a/ na /o/
Onyesha zaidi...
1
60
Tumsime Godfrey
Apr 7
#elimu
#maumbile
#elimu-ya-utotoni
"Sifa zilizorithiwa huweza kuchangia haiba ya mtoto" thibitisha kauli hii KWA kutoa hoja saba ?
Onyesha zaidi...
1
10
Tumsime Godfrey
Apr 6
#kitaaluma
#kemia
KWA kifupi hoja nne, fafanua kwa ufupi namna ya kupausha rangi za maji ?
Onyesha zaidi...
1
2
Michael Kimwaga
Apr 1
#dawa
#afya
# dawa inayotumika kutibu mba kichwan ni ipi?
Onyesha zaidi...
1
4
Next page
×
Anonim
Ingia
Uliza!
Nyumbani
Wataalam
Lebo
Tafuta
Kuwa mmoja wa wataalam
Kuhusu Sisi
Maswali Yanayoulizwa Sana
Wasiliana Nasi
Masharti ya Matumizi
Sera ya Faragha
© 2024 - Quanswer
Chagua lugha
×
English
Magyar
Română
Español
Français
Português
Deutsch
Nederlands
Norsk