qu
answer
Nyumbani
Uliza!
Wataalam
Tafuta
Kiswahili
Taarifa
Ingia
qu
answer
Nyumbani
Wataalam
Uliza!
Taarifa
Ingia
Loading...
Pakia maswali mapya
Mamu Ally
Feb 1
#fasihi
Taifa litajengwa na watu wenye moyo fafanua usemi huu kamaa ilivyotumika katika riwaya ya vuta n'kuvute na usiku utakapokwisha kwa hoja 6 zenye mifano madhubuti?
Onyesha zaidi...
1
1
Mamu Ally
Feb 1
#ushairi
#jumuiya
Msanii wa ushairi ni tabibu wa magonjwa sugu yaliyopo kwenye jamii kwa kutumia chungu tamu na kimbunga thibitisha kauli hii kwa hoja 6 kwa kila diwani?
Onyesha zaidi...
1
2
Mamu Ally
Feb 1
#matambiko
#mungu
#kiroho
Matambiko yalitumiwa na babu zetu kama nyenzo ya mawasiliano kati yao na Mungu fafanua dhima 6 za matambiko kwa jamii kwa wakati huo?
Onyesha zaidi...
1
2
Mamu Ally
Feb 1
#ushairi
#fasihi
Ushairi ni utu jadili kauli hii kwa kutumia diwani ya chungu tamu na kimbunga kwa hoja 7 zenye mifano madhubuti?
Onyesha zaidi...
1
1
Mamu Ally
Feb 1
#mifano
#jamii
#usawa-wa-kijinsia
#ukumbi-wa-michezo
Mwanamke ni kikwazo cha maendeleo katika jamii jadili kwa kutumia tamthiliya ya nguzo mama na kivuli kinaishi kwa hoja tatutatu kwa kila tamthiliya tofauti kwa mifano madhubuti?
Onyesha zaidi...
1
1
Mamu Ally
Feb 1
#jamii
Jamii ndiyo inayomfinyanga msanii hata akakomaa na kutoa zao la kazi ya fasihi kutokana na mazingira ya jamii hiyo thibitisha kauli hiyo kwa kutumia riwaya ya vuta n'kuvute na usiku utakapokwish ho6?
Onyesha zaidi...
1
1
Mamu Ally
Feb 1
#fasihi
Fasihi simulizi inapata sura mpya kutokana na mabadiliko yanayojitokeza katika jamii jadili kauli hii kwa mifano madhubuti kutoka katika jamii ya kitanzania hoja 7?
Onyesha zaidi...
1
5
Mamu Ally
Feb 1
#literature
#ushairi
#fasihi
#athari-za-kijamii
Watunzi wa ushairi huwa na dhima anuai kwa jamii katika kazi zao wanazotunga kwa kutumia diwani ya chungu tamu na kimbunga kwa hoja 6 zenye mifano madhubuti kwa kila diwani?
Onyesha zaidi...
1
3
Mamu Ally
Feb 1
#jamii
#tanzania
#migogoro
Migogoro haiepukiki katika jamii nyingi za kiafrika hususani Tamzania fafanua kauli hii kwa kutathimini aina nne za migogoro iliyo jadiliwa kutoka riwaya ya vuta n'kuvute na mfadhili?
Onyesha zaidi...
2
4
Mamu Ally
Feb 1
#mifano
#mageuzi
#maendeleo-ya-jamii
#mabadiliko-ya-kijamii
Mageuzi ya kweli hayana budi kutokea ili kuleta ustawi wa jamii thibitisha kwa kujadili dhamira ya mageuzi katika chungu tamu na kimbunga kwa hoja 7 na mifano madhubuti?
Onyesha zaidi...
1
1
Next page
×
Anonim
Ingia
Uliza!
Nyumbani
Wataalam
Lebo
Tafuta
Kuwa mmoja wa wataalam
Kuhusu Sisi
Maswali Yanayoulizwa Sana
Wasiliana Nasi
Masharti ya Matumizi
Sera ya Faragha
© 2024 - Quanswer
Chagua lugha
×
English
Magyar
Română
Español
Français
Português
Deutsch
Nederlands
Norsk