qu
answer
Nyumbani
Uliza!
Wataalam
Tafuta
Kiswahili
Taarifa
Ingia
qu
answer
Nyumbani
Wataalam
Uliza!
Taarifa
Ingia
Loading...
Pakia maswali mapya
Grace Mwenga
Feb 20
#vyakula-vya-kimataifa
#kupika
#jikoni-vifaa
Kibao cha kusukumia chapati kwa kungereza kinaitwaje?
Onyesha zaidi...
1
2
Grace Mwenga
Feb 20
#chakula
#kupika
#vifaa-vya-jikoni
Kibao cha kusukumia chapati kwa kingereza kinaitwaje?
Onyesha zaidi...
1
3
Tumsime Godfrey
Feb 20
#kipimo
#mahesabu
#hisabati
Fundi seremala alinunua ubao wenye urefu wa m65 na kuukata katika vipande vidogo vidogo venye urefu wa sm0.05 KWA KILA kipande. Je alipata vipande vingapi ?
Onyesha zaidi...
1
1
Tumsime Godfrey
Feb 20
#fedha
#hisabati
#uchumi
Mwandosya aliuza shamba lake KWA gharama ya shilingi 5 500 000 na kupata hasara ya shilingi 185 000. Je angeliuza shamba hilo KWA bei GANI ili apate faida ya shilingi 500 000 ?
Onyesha zaidi...
1
1
Anonim
Feb 20
#sanaa
#ushairi
#fasihi
Eleza mfano ushairi jinsi ilivyotumika kuthibitisha kwamba fasihi ni sanaa ?
Onyesha zaidi...
1
1
Anonim
Feb 20
#sanaa
#ukosoaji
#fasihi
Eleza mfano tamthilia jinsi ilivyotumika kuthibitisha kuwa fasihi ni sanaa?
Onyesha zaidi...
1
1
Tumsime Godfrey
Feb 17
#elimu
#elimu-ya-utotoni
Tofauti tano Kati kulinganisha vitu na kuhusianisha namba 1-5 KWA watoto wa Elimu ya Awali ? ?
Onyesha zaidi...
1
1
Anonim
Feb 12
#isimu
Fafanua dhima ya nadharia za kiisimu kwa kutumia mifano? ?
Onyesha zaidi...
1
1
Tumsime Godfrey
Feb 11
#hisabati
Ikiwa zao la 12 na namba nyingine ni sawa na kuzidisha 2 KWA jumla ya 25 na namba hiyo. Je, namba hiyo ni ipo ?
Onyesha zaidi...
1
3
Mamu Ally
Feb 10
#sehemu
#hisabati
3/8 kwa maana nyingine unaweza kusema vipi? ?
Onyesha zaidi...
1
1
Next page
×
Anonim
Ingia
Uliza!
Nyumbani
Wataalam
Lebo
Tafuta
Kuwa mmoja wa wataalam
Kuhusu Sisi
Maswali Yanayoulizwa Sana
Wasiliana Nasi
Masharti ya Matumizi
Sera ya Faragha
© 2024 - Quanswer
Chagua lugha
×
English
Magyar
Română
Español
Français
Português
Deutsch
Nederlands
Norsk