qu
answer
Nyumbani
Uliza!
Wataalam
Tafuta
Kiswahili
Taarifa
Ingia
qu
answer
Nyumbani
Wataalam
Uliza!
Taarifa
Ingia
Loading...
Pakia maswali mapya
Tumsime Godfrey
Mac 8
#elimu
#kujifunza-lugha
#elimu-ya-utotoni
Ni kwanini mwalimu anarekebisha makosa ya kimatamshi KWA watoto wa Elimu ya Awali ??
Onyesha zaidi...
1
2
Tumsime Godfrey
Mac 8
#kujifunza-lugha
#matamshi
#lugha
Eleza mambo yanayosababaisha makosa ya kimatamshi na ni kwa namna gani utakavyoyarekebisha ?
Onyesha zaidi...
1
4
Tumsime Godfrey
Mac 8
#ujuzi-wa-kuandika
#mbinu-za-ufundishaji
#elimu-ya-utotoni
Ni KWA namna gani mwalimu anavyokabiliana na changamoto wakati anapofundisha stadi za awali za kuandika katika darasa la awali ?
Onyesha zaidi...
1
2
Michael Kimwaga
Mac 6
#matibabu
#dawa
# mwinekano wa dawa ya acetaminophen ni upi?
Onyesha zaidi...
1
1
Anonim
Mac 4
#sarufi
#lugha
Bainisha viambishi katika maneno yafuatayo. Mnacheza?
Onyesha zaidi...
1
1
Anonim
Mac 1
#ushairi
#fasihi
#lugha
Uhakiki wa mashairi ya pambo la lugha?
Answer immediately
Onyesha zaidi...
1
4
Tumsime Godfrey
Mac 1
#kutatua-tatizo
#hisabati
Umri wa kennedy ni mara 3 ya umri wa elias. Miaka mitano iliyopita jumla ya umri wao ulikuwa miaka 70. Tafuta umri wa Kennedy na onyesha njia ya jawabu lako ?
Onyesha zaidi...
1
4
Tumsime Godfrey
Mac 1
#kutatua-tatizo
#hisabati
Umri wa shamsa ni mara nne ya umri wa mtoto wake. Ikiwa jumla ya umri wao ni miaka 120. Tafuta 1:umri wa shamsa 2:umri wa mtoto wake KWA kuonyesha njia ya jawabu ?
Onyesha zaidi...
1
5
Tumsime Godfrey
Mac 1
#kutatua-tatizo
#mafumbo
#hisabati
Umri wa shamsa ni mara nne ya umri wa moto wake. Ikiwa jumla ya umri wao ni MIAKA 120. Tafuta 1:umri wa shamsa 2: umri wa moto wake ?
Onyesha zaidi...
1
1
Tumsime Godfrey
Feb 29
#shule
#hisabati
Shule ina chakula cha kutosha wanafunzi 150 KWA siku10. Je wanafunzi 300 watakula chakula hicho KWA muda wa GANI ikiwa wanafunzi wote wanatumia kiasi sawa ?
Onyesha zaidi...
1
5
Next page
×
Anonim
Ingia
Uliza!
Nyumbani
Wataalam
Lebo
Tafuta
Kuwa mmoja wa wataalam
Kuhusu Sisi
Maswali Yanayoulizwa Sana
Wasiliana Nasi
Masharti ya Matumizi
Sera ya Faragha
© 2024 - Quanswer
Chagua lugha
×
English
Magyar
Română
Español
Français
Português
Deutsch
Nederlands
Norsk