>
#burudani
>
Jibu vitendawili vifuatavyo: (1)Shamba langu kubwa lina kisiki kimoja, (2)Saa yangu haijasimama tangu itiwe ufunguo, (3)Mavuno ya Shamba zima hayajazi kiganja, (4)Mazishi yake ni furaha kwa watu???